Wednesday, December 7, 2016

Mitihani ya Kyu KARATE TANZANIA SKI

Oss!

Mitihani ya madaraja ya kyu itafanyika siku ya Jumapili Tarehe 11/12/2016, Kuanzia Saa Nne (04:00 asubuhi), Hombu Dojo Kawe.

Ili Kuondoa Usumbufu Wa Malipo Yote Yalipwe Sasa Kabla Ya Tarehe Tajwa, kwa mifumo ya kibenki kwa akaunti ya SKITA, au simubenki Kupitia waalimu (sensei) wa madarasa (dojo) husika au Muone Katibu Mkuu Kabla Ya Tarehe Tajwa, Vinginevyo Hakuna Malipo Yatakayopokelewa Siku Ya Mitihani!
Na hivyo kumnyima sifa mtahiniwa (karate-ka)
Oss.

Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA
+255 716 823 404

Sunday, December 4, 2016

Karate clinic/training

Clinic Training ikiendelea kwa madaraja tofauti Phillip Chikoko Sensei mkufunzi mkuu wa Karate Tanzania SKI na wasaidizi wake wakiendelea na ufundishaji na mafunzo.

Karate Clinic/training

Phillip Chikoko Sensei, mkufunzi mkuu na mtaalam wa karate Tanzania SKI akieleze na kufundisha kwa vitendo usahihi wa seiza, kama anavyoonekana kwenye picha akionyesha na kuonyesha kwa vitendo na pia kukagua

Thursday, December 1, 2016

TAARIFA KWA WANASKITA/Karate-ka (Mitihani ya madaraja ya kyu)

Oss!

Mitihani ya madaraja ya kyu itafanyika siku ya Jumapili Tarehe 11/12/2016, Kuanzia Saa Nne (04:00 asubuhi), Hombu Dojo Kawe.

Ili Kuondoa Usumbufu Wa Malipo Yote Yalipwe Sasa Kabla Ya Tarehe Tajwa, kwa mifumo ya kibenki kwa akaunti ya SKITA, au simubenki Kupitia waalimu (sensei) wa madarasa (dojo) husika au Muone Katibu Mkuu Kabla Ya Tarehe Tajwa, Vinginevyo Hakuna Malipo Yatakayopokelewa Siku Ya Mitihani!
Na hivyo kumnyima sifa mtahiniwa (karate-ka)
Oss.

Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA
+255 716 823 404

Karate workshop

Oss!
Salaam!
TAARIFA KWA WANA-SKITA:
Karate Workshop
Jumapili Tarehe 4/12/2016, Saa Nne Asubuhi Mpaka Saa Sita Mchana, Pale Hombu Dojo Kawe Kutakuwa Na Workshop Ya YAKUSOKU KUMITE, chini ya mkufunzi wa karate Tanzania SKI Phillip Chikoko Sensei. Walengwa Ni Mikanda ya Kyu Wote.
Gharama ni 1500/= kwa kila mwanachama mshiriki.
Oss.

Mawasiliano:
+255 716 823 404
Mkurugenzi wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA

Thursday, November 24, 2016

Clinic Ya Mafunzo Maalumu Kwa Madaraja Ya Brown Belt na Chini Yake

Oss!
Salaam!
Tarehe 27/11/2016 Siku Ya Jumapili Pale Kawe Hombu Dojo, Mida Ya Kuanzia Saa Nne Na Nusu (10:30 Am) Asubuhi Mpaka Saa Saba Na Nusu (13:30) Mchana. Kutakuwa Na Clinic Maalum Ya Mafunzo Ya Kata Mbalimbali, Na Mafunzo Hayo Yataendeshwa Na Mkufunzi Mkuu Na Mahiri, Dr. Phillip Chikoko " Shihan"

Walengwa Ni Brown Belts Pamoja Na Wengine Waliyo Chini Ya Ngazi Hiyo.

Ada Ya Clinic Hii Ni Tsh. 1,500/= Kwa Kila Mhudhuliaji Mwanachama.

Tafadhali Mjuze Na Mwingine Juu Ya Ujumbe Huu!
Oss.

Mawasiliano:
+255 716 823 404
Mwenyekiti wa Habari, Mawasiliano, Mahusiano na Uwenezi SKITA

Sunday, September 25, 2016

Kikao cha kamati Tendaji

Kikao cha kamati tendaji ya SKITA chini ya Rais na mkufunzi mkuu wa Karate Tanzania SKIF Dr. Philip K. Chikoko. Wakiwemo viongozi wengine wajuu wa taasisi kama mwenyekiti (Bw. D. Mwakibete) na Katibu mkuu (Bw. M. Mwashilindi). Pia na baadhi ya waalimu na karate-ka wa ngazi za juu Tanzania SKIF.
Wakijadili maswala ya ufundi, uongozi/utawala na dira ya taasisi hii kubwa ya kimataifa

25/09/2016

Wednesday, March 23, 2016

Mitihani wa mikanda ya Kyu

Waliofanya vizuri kuliko wengine, kwa mtu mmoja mmoja

hahahahaha waliofanya vizuri kwa ufaulu wa juu kabisa ni karateka wa mkanda mweupe...........

wakiwa Pamoja na Shihan Dr. P. Chikoko (Katikati) na katibu wa SKITA (Kushoto)

Mitihani ya Mikanda ya kyu

Daraja lililofanya vizuri zaidi kuliko mengine ni kyu ya 5 yani mkanda wa bluu, wote walipita kwenye mtihani wao
wakiwa na mkufunzi mkuu wa karate Tanzania Shihan Dr. P. Chikoko (katikati) pamoja na Katibu mkuu wa chama cha karate Tanzania SKIF Sensei Kudra (kushoto)

Mitihani ya mikanda ya Kyu (Mkanda wa kahawia Kyu ya 3/ Brown Belt third kyu)





Mitihani ya mikanda ya kyu (Mkanda mwekundu/Red belt)




Mitihani ya Mikanda ya Kyu (Mkanda wa bluu/Blue Belt)





Mitihani ya mikanda ya kyu (Rangi ya chingwa/Orange belt)







Mitihani ya Mikanda ya kyu (Mkanda wa njano/Yellow belt)